House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA KUONA NDANI RUKSA NA KULIPIAAAA
LOCATION. MBEZI LUGURUNI UPANDE WA MKUU WA WILAYA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
‼️HAKUNA MASTER BEDROOM HAPA
#SEBULE WASTANI
#JIKO KUBWA LA KISASA LINAFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET YA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 250,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO LUGURUNI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MKOA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BODABODA 1000 MPAKA NYUMBANI
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIlipia malipo kwa dalali ni 250k