House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


#STAND_ALONE / INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE- INAPANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA
===
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule dinning jiko stoo na public toilet
====
Kodi 500,000 Kwa mwezi × 10 ( Maongezi kuhusu miezi njoo site)
===
Umbali dakika 8 Kwa mguu toka Morogoro Road
===
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon, nyumba hii kahama mwenye nyumba kwahiyo inafanyiwa ukarabati.
====
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr. Riverside