House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


:
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 3
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA ZEGE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#GARDEN
BEI NI 350,000/= X 3
0716 776247
0754 221168