House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
(200,000X3)MBEZI LUGURUNI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 200k X 3
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MBEZI MWISHO LUGURUNI
Umbali wa Kilomita 2.5 kutoka Stand, Usafiri Bajaj 500. BARABARA NI NZURI
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa Master Bedroom
• Jiko lake Zuri/Open Kitchen
• Choo Kizuri cha Wageni Nje
• Electrical Fance
• CCTV CAMERA
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 200,000/- Malipo Miezi 3 Inapokelewa
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
CONTACT US:-
0716223412
0673597453