House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(90,000 × 3) MBEZI KWA MSUGURI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
MASTER BEDROOM KUBWA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.8
SIFA ZAKE:
MAJI CHOONI YANATOKA
UMEME LUKU WAPANGAJI WAWILI TU
HAPA KUNA MASTER MBILI
SEBULE NA JIKO WANASHEA BUREEEE
KODI 90000 X 3
MPANGAJI AKICHUKUA NYUMBA YOTE ATALIPA 200000 X 3
KUONA ELFU 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT:
0654101710
0787205300