House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6
APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA KESHO MUDA WOWOTE NDUGU MTEJA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
BEI NI 450,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
-----
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
---------
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 👈
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 👈
What saapp number ⬅️ 0689-547258