House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
#VYUMBA_VIWILI
APARTMENT
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH
______________
KODI TSHS LAKI 500,000/=KWA MWEZI
_________________
MALIPO YA MIEZI 6
________________
_____________
YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Viwili vya kulala #Kimoja ni Masta #Sebule #Dinning #Jiko zuri kubwa #aircondition #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks
#FencedHouse