House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 250K X 6
💥 APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO
#VYUMBA 2 VYAKULALA
🔥🔥#VYOTE NI MASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA LAKISASA
#CHOO CHA PUBLIC
#STORE
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
# NA MAJI DAWASA METER YAKE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#NYUMBA INA (ITA)
#NDANI YA FENSI
#CAR PARKING
🏘️APARTMENT HII IPO MBEZI KWAMSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5
UKIPANDA BAJAJI SH 500 BODA 1000 MPAKA KWENYE NYUMBA
💰 BEI NI 250K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
NB INAKUWA WAZI TRH 25/4 KUJA KUONA NAKULIPIA LUKSA
📌📌NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37
PIGA SIMU