House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA
ZIPO MBILI KWENYE COMPOUND
YA CHIN IPO WAZI
IKO ~ DAR ES SALAAM-Tz
MAHALI - MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
SHAMO TAWA
____________
KODI ~ TSH 1,100,000
KWA MWEZI
________
NYUMBA YA FAMILIA
YENYE
______
Vyumba vitatu self contained 2
Sebule kubwa pamoja na dinning
Jiko zuri la kisasa lenye space pamoja na makabati
Air condition , pamoja na feni
Makabati vyumbani
Washing machine , standby-generetor
Maji ya kisima , maji ya dawasco
Jiko la nje, store
Choo cha nje
Electricity fanced
Garden nzuri yenye kuvutia
Cctv camera Nk.
_____
Contact call 0712531657
#0789731695 whatsapp