House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(300,000 × 6) MBEZI MWISHO
PUNGUZO LA BEI LIMEKUBALIKA TEMBEA NA HELA USJE KUJILAUMU KUTOKA
350K MPAKA 300K X6
NI APATIMENTI KALI SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
IPO MBEZI STENDI YA MKOA MAGUFULI
UMBALI KUTOKA STENDI KM 1,5 PKPK 1000/
======
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO MASTER
SEBULE DINING JIKO NA CHOO CHA PUBLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
=====
KODI 300,000/= × 6
KUONA NYUMBA 15000/=
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
=======
Contact:
0654101710
0787205300