House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 26/06/2024
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
‼️HAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
# Simu 0757 404087
💥 APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 26/06/2024 KUONA RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA