House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA YA FAMILIA IPO MTAA MZURI SANA WA KISHUA MAENEO YA MBEZI BEACH MAKONDE INAPANGISHWA
š„ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PARKING
#KWENYE FENSI MOJA ZIPO NYUMBA ZA AINA TOFAUTI NA ZIPO MBALI MBALI NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA YENYEWE KWA KILA KITU
BEI NI 800,000/= X 6
ILIPWE LAKI 8 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
šļøMJENGO HUU WA KISASA UPO MBEZI BEACH MAKONDE NA KUTOKA BAGAMOYO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA