House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT STEND ALONE FULL FURNISHED MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
----------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa.
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow.
Full air condition
Garden safi
Tiles
Gypsum.
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-----------
Service charge 20,000/=
Kodi $ 1000 kwa mwezi
Ilipwe miezi 6
------------'
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni $ 1000
-------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿