House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA IPO SEHEMU NZURI INAPANGISHWA
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 250,000/= X 6
ILIPWE LAKI 250,000 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI LUGURUNI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MKOANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI 1.7KM TUU
BODA 1000
π₯ PAVING BLOCK ZINAWEKWAAAA ONDOA SHAKA KABISAA π₯
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0655256419