House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYAAAAAAAAAA ZINAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI #200k
==
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani ( master)
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Ndani ya fence parking IPO barabara nzuri Sana
===
Kodi 200,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali dakika 2 Tu Kwa mguu
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0655256419