House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOMS ZINAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH ( 100,000 KWA MWEZI × 3)
===
Chumba na Choo ndani ( Master Bedroom)
Maji yanaflow chooni
Nyumba mpyaaaaaaa
===
Kodi 100,000 Kwa mwezi × 3
===
Umbali dakika 5 Kwa mguu toka kituon
service survey change elfu 15
0678588718
0767921871__wasap
piga sim usitume sms utachelewa kujibiwa
DALALI MTU MUHIMU DALALI AHESHIMIWE