House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







HII SI YAKUJIULIZA WALE WANAO PENDA KUKAA NYUMBA ZA MBALI APO BEI KITONGA
NJOO WAI CHAPU BEBA PESA USISAHAU PESA YA DALAL YA MWEZI MMOJA
CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA JIKO KUBWA SANA DAINING NA PABLICK TOILET NA KIBARAZA CHAKO
MAJI DAWASCO
UMEME UNASHEA
INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI
=== UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS KM 2.5
BAJAJI 700 UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DAKIKA 7
PK PK 1500
Bei:100,000 X4
===NYUMBA HAIPO NDANI YA FENCE USALAMA WAKUTOSHA
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
CHAPU KABLA UJAWAHIWA
===NOTE APO NYUMBA IPO MBALI
SIMU
0712656027