House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
KODI 150000X5/6
______
APATIMENTI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI
_____
SIFA ZA NYUMBA VYUMBA VYA KULALA VIWILI
AINA MASTA INA CHOO CHA PABILIKI JIKO LIPO
SEBULE
_______
KUTOKA BARABARANI KILOMITA 2 HADI KWENYE
BODA BODA 1000
BAJAJI 700
______
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MUMOJA
______
IPO WAZI NYUMBA MOJA
PIGA SIMU 078904684