House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 3 NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/05/2024
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 250,000/= X 3
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO JIRANI KABISA NA STAND YA MABASI YA KUELEKEA MALAMBA MAWILI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/05/2024
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37