House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 4
š„ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 350,000/= X 4
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4 NA KUENDELEA
šļø APARTMENT HII IPO #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
#USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA HUO HUO NA NJIA NI NZURI TUU NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
š„ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316WhatsAp
#0769680796whtsp