House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(300,000 × 3) MBEZI KWA MSUGURI
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA KWA MSUGURI
===
Chumba cha kulala
Sebule Kubwa
Jiko zuri
Choo kizuri
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Fence na parking
Wapangaji Mpo wawili tu kwenye fence
===
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 3
===
Umbali dakika 5 kwamiguu
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300