House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(200,000 × 6) MBEZI KWA MSUGURI
APARTMENT NZULI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE:
CHUMBA KIMOJA CHA KULALA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
BEI NI 200,000 ILIPWE LAKI MBILI KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROAD KM 2
BARABARA SAFI NI LAMI TUPU
USAFIRI UPO WA BAJAJI 700
BODABODA 1000
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300