House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
HOUSE FRO RENT APPARTIMENT ZIPO 2 KWENYE COMPOUND MOJA
YA JUU NDO INAKUA WAZI TALEHE 31 MWEZI HUU
VYUMBA V3 SEBLE DINING ROOM JIKO NA CHOO (KIMOJA MASTAR) NA PUBLIC TOILET
IPO MBEZI BEACH TANKI BOVU UPANDE WA CHINI,.IPO KARIBU NA BARA BARA
BEI MILION 1.5 KWA MWEZI
MUDA WA MALIPO MIEZI 6
KWA MAELEKEZO ZAIDI PGA SIM
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp