House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION MBEZI KIBANDA CHA MKAA KM 1,5
KUTOKA STEND KIBANDA CHA MKAA
USAFIRI BAJAJI ZIPO NA PIKIPIKI KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
hii ni chumba master bedroom
Sebulena
jiko zuri ndani
Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
๐ฐKODI YA PANGO
________________
Kodi kwa mwezi ni laki mbili tuu/=
(200,000)
X 6
SERVICE CHARGE TSH 15,000
Kwa maelezo zaidi Piga simu
CALL #0625606710