House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAAA DK 15 KWA MGUU KUTOKA LAMI...
------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet nje
Tiles
Gypsum
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana Ndan ya fensi
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 200,000/=×5,6 *(ahadi)*
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2
---------
Call& Whatsapp
0627514605/0782324144