House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MZULI YA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
INAVYUMBA 2 VYA KULALA
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET NDANI
AKUNA MASTER ❎
MAJI NI YAKUSHEA BILI WAWILI
MAJI YANATOKA CHIOONI
UMEME UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 200,000/=X6
ILIPWE LAKI MBILI KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 2
USAFILI UPO WA KUTOSHA
BAJAJI 700
BODA 1000
UKIISHUKA KWENYE BAJAJI UNTEMBEA DAJIKA TATU UMEFIKA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
===========≠==
CALL 0683234124
0718367179