House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam
(100,000 × 6) MBEZI KIBANDA CHA MKAA
Bei :100,000 chumba master na sebule
Chumba master na sebule bei 100,000 × 6
Kipo MBEZI KIBANDA CHA MKAA km 1 kutoka kituoni
Bajaji 700
Bodaboda 1000
Ukipenda kutembea dakika 15 kwa miguu kutoka kituoni
UMEME NA MAJI WA KUSHARE WACHACHE
USAFIRI WA BAJAJI 700
USAFIRI WA PIKIPIKI 1000
ANGALIZO
Service charge ni shilingi 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
________________________________________________
SERVICE CHARGE TSH 15,000 na itadumu mpaka upate nyumba
____________________________