House for rent at Mbezi Juu, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU INAYOJITEGEMEA INAPANGISHWA LAKI 7 KWA MWEZI MALIPO NIYA MIEZI 2 MPAKA MIEZI 3
NYUMBA IPO MBEZI JUU MASANA KITUO KWA SANYA NYUMBA INAANGALIA LAMI KUU HUKANYAGI VUMBI
NYUMBA INAVYUMBA VITATU VYA KULALA CHUMBA KIMOJA NI
#MASTER
#INA PUBLIC TOILET
#NA #BAFU
#INA DINING
#INA SEBULE #KUBWA NA #JIKO
#FENI #ZIPO VYUMBANI NA #SEBULENI
#NYUMBA #NI #MPYA #KABISA UNALIPA NA KUHAMIA MDA HUO HUO
NI PAMOJA NA MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA
NYUMBA IPO VIZULI KWA KILA KITU..NK................
#Cal
#0717671240 au what's up 👍🙏