House for rent at Mbuyuni, Morogoro


Apartments nzuri sana #MPYAA zinapangishwa SALASALA MWISHO WA LAMI zimebaki chache wahi
Kodi 200,000 × 6
Location Salasala Mwisho wa Lami Kituoni Mbuyuni Mbezi Beach Usafiri ni Bajaji na Boda 1000 mpka home
Apartment hizi zina sifa zifuatazo:
Chumba kimoja cha kulala
Sebule nzuri
Jiko zuri open kitchen
Choo kizuri ndani ( Public Toilet)
Maji yanaflow ndani
Luku unajitegemea
Full paving blocks
Full garden
Parking space kubwa sana
Kutoka SALASALA MWISHO WA LAMI BODABODA 1000 mpaka mlangoni
*Service charge ni shilingi 20,000*
*MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA KAMILI*
0712500602
0755336565