House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MBWENI, MBWENI MALINDI

➡️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➡️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo.

➡️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➡️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➡️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➡️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

𝗕𝗘𝗜 𝗭𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗘

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 602 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 2, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 2.

𝗨𝗠𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗝𝗘𝗖𝗧 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗟𝗘𝗭𝗢 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗧𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗘 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu 𝗧𝗘𝗩𝗜 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗥𝗖𝗜𝗔𝗟 𝗣𝗔𝗥𝗞(𝗶𝗹𝗶𝗽𝗼 𝗡𝗕𝗖 𝗕𝗔𝗡𝗞), 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗕𝗘𝗔𝗖𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗞𝗜 𝗕𝗢𝗩𝗨 - 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

APARTMENT INAPANGISHWA📍 MBWENI UBUNGO 🔸 VYUMBA VIWILI🔸JIKO🔸 SEBULE🔸 PARKING YAKUTOSHA🔸NDANI YA...

3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

0679 997610 🏡 NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA - STAND ALONE HOUSE📍 Eneo: Mbweni🔹 Maelezo ya Nyumba:...

4 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000,000

HOUSE FOR SALE LOCATION MBWENI JKT ] DAR-SSA-LAAM TANZANIAMBWENI JKT #4BEDROOM Eneo smgt 1744+ sw...

3 Bedrooms House/Apartment for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 650,000,000

NEW APARTMENT FOR SALE𝖨𝖪𝖮 ~ 𝖣𝖠𝖱 𝖤𝖲 𝖲𝖠𝖫𝖠𝖠𝖬𝖳𝗓𝖬𝖠𝖧𝖠LI - MBWENI MALINDI_____________...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 5,300,000

APARTMENT ZINAUZWA MBWENI; KUNA ZA VYUMBA VI 3 VYA KULALA NA VYUMBA 2 VYA KULALA; SQM 889; HATI IPO;...

3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA - STAND ALONE HOUSE📍 Eneo: Mbweni🔹 Maelezo ya Nyumba:🛏️ Vyumba 3...

3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA - STAND ALONE HOUSE📍 Eneo: Mbweni🔹 Maelezo ya Nyumba:🛏️ Vyumba 3...

Plots for sale at Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 450,000,000

Viwanja vinauzwa vipo mbweni ubungo vyote square meter 2800 vinagusa lami hati miliki tsh 450 Milion...

3 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

Nyumba inauzwa mbweni jkt bedroom's 3 self conteined one sitting room dining room kitchen public toi...

5 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

House For Sale Location:Mbweni Ubungo Plot Size Sqm 1788Documents:Title Deeds(Ina Hati Ya Wizara)5 B...

4 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

4/6/2025Nyumba inapangishwa apartment Kodi 300,000 kwa mwezi Mbweni 4Vyumba 3 kimoja master sitting ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBWENI UBUNGO———————...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 170,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh MIL 170Sqm 1070Mbweni MpijiFully documentContact#0676_218580 (WhatsApp)#0693_67...

3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

NYUMBA INA PANGISHWA IPO MBWENI MALINDI ESTATE DSM TANZANIA 🇹🇿 NYUMBA INA PANGISHWA INA VYUMBA VI...

5 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000,000

Ghorofa hili nmeagizwa niiuze haraka sana....Location ...mbweni//dovya Unaingilia njia ya mbweni ubu...

3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 2,500,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA - STAND ALONE HOUSE📍 Eneo: Mbweni🔹 Maelezo ya Nyumba:🛏️ Vyumba 3...

House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT ZINAPANGISHWA 𝖨𝖪𝖮 ~ 𝖣𝖠𝖱 𝖤𝖲 𝖲𝖠𝖫𝖠𝖠𝖬𝖳𝗓𝖬𝖠𝖧𝖠𝖱𝖨 ~ MBWENI MPIJI____________...

4 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

NYUMBA INAUZWAKIPO ~ DAR ES SALAAM-TzMAHALI - MBWENI MPIJI________________UKUBWA KIWANJA CHAKE ~ SQ...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh MIL 160Sqm 1200Mbweni UbungoFully documentdalalimwembamba_mbweni Contact0712464...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 170,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh MIL 170Sqm 1070Mbweni MpijiFully documentdalalimwembamba_mbweni Contact07124647...