House for rent at Mjini, Ruvuma


APARTMENTS ZINAPANGISHWA DODOMA MJINI KABISAAA.
MWENDO WA KUTEMBEA KWA MIGUU / Boda boda elfu 1
Meter 200 umbali to mjin katikati.
Muundo wa Nyumba.
CHUMBA MASTER
SEBLE NA JIKO
KOD N TSH LAK 250,000 mwezi malipo n miez mitatu.
Huduma zote zipo
Maji
Umeme
Fens na Get
Mazingira mazurii na tulivu.
Muundo wa Pili.
Chumba master
Seble
Hakuna jiko
Huduma zote zipo
Umeme inajitegemea
Maji mnashea watu wawili.
Pia Hapa kwenye huu mradi Nna
Chumba Single kod elfu 40,000 tu malipo n miez mitatu.
Pia Kuna Chumba single kod elfu 60,000 mwez malipo n miez mitatu.
Mawasiliano
Call_____watsApp 0718436694
Site visit elfu 10,000/=
Malipo ya kazi kod mwez 1tuh.