House for Rent at Mjini, Ruvuma


📢 *APARTMENT YA KUPANGA – SINGIDA MJINI* 
🏠 *Chumba self, Sebule  na jiko* 
💧 Maji yapo 
💡 Umeme upo 
(modern finish) 
💰 *Kodi: TSH 120,000 kwa mwezi* 
🔑 *Malipo ya miezi 6 kwa mwanzo
📍 *Ipo Namfua*, nyuma ya *uwanja wa mpira wa Namfua* – eneo tulivu na salama kabisa!
✅ Nyumba iko *mjini kati* kabisa 
✅ Karibu na huduma zote muhimu: 
• *Soko Kuu* 
• *Benki* 
• *Hospitali* 
• *Kituo cha Polisi* 
✅ Huduma zote unazifikia kwa *kutembea kwa miguu tu!* 
Hakuna usumbufu wa usafiri!
✨ Mahali pazuri kwa familia au mtu anayependa urahisi wa huduma mijini.
📞 0658128485
.
.
.
.
#NyumbaYaKupanga 
#PangishaNyumba 
#NyumbaSingida 
#Namfua 
#NyumbaMzuri 
#MakaziBora 
#SingidaMjini 
#TangazoLaNyumba 
#RealEstateTanzania 
#KodiNyumba 
#SelfContain 
#ChumbaNaSebule 
#ApartmentForRent 
#NyumbaKaribuNaHuduma 
#MakaziYaKisasa 
#PangishaLeo 
#NyumbaKaribuNaSoko 
#SingidaHousing 
#TangazoLaPango 
#WahiNyumba
#singida
#dalalisingida



















