House for rent at Moshono, Arusha


Inapangishwa moshono arusha
Ni nyumba inajitegemea
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina sebule na dairning
Ina jiko lenye makabati
Ina public toilet na bathroom.
Ina parking
Bei 400,000/=kwa mwez
Call 0758105801/0693412119