House for Rent at Msasani, Dar Es Salaam


Nyumba iyo inapangishwa bei kwa mwezi
Ni USD1500 maongezi yapo baada ya mteja
Kupenda nyumba ina vyumba vya kulala 4
Masta 2 ina boikota pia masta kubwa ipo
Juu nyumba inajitegemea. Kwenye. Fensi
Ipo msasani na malipo yake kuanzia miezi
6 yakifuatiwa malipo ya dalali kodi ya mwezi
Baada ya kulipia nyumba kwenda kukagua
Nyumba. Tunachaji sh 20000 tuwasiliane
Kwa. 0784422099/0715422099/0746218111