House for rent at Nkuhungu, Dodoma


NYUMBA INAPANGISWA DODOMA NKUHUNGU
ENEO TULIVU SANAA
MTAA MZURII
INAJITEGEMEA KWENYE FENS NA GET LAKE.
MUUNDO WAKE
ROOM 2 - 1 MASTER BEDROOM
SEBLE
JIKO
PUBLICTOILET
HUDUMA ZOTE ZIPO
MAJI duwasa
Umeme Tanesco
Pia Kuna kisima
Mlinzi
Electical Fens wire
Paving Blocks uwanjan kote
Car parking kubwa
Kod Lak 400,000/= mwezi malipo n miez 6
Site visit elfu 10,000/=
Malipo ya kaz kwa dalali atalipa mteja (mpangaji) kod mwezi mmoja.
Mawasiliano zaid
Call______watsApp 0718436694