House for rent at Nkuhungu, Dodoma


MWENYE KUWAHI AWAHI OFFER😂
APPARTMENT KALI HI INAPANGISHWA
MAHALI… NKUHUNGU BODA JIRAN NA USAFIRI
MUUNDO WAKE
…. VYUMBA 3 KIMOJA MASTER
…. SEBULE
…. JIKO
…. DINNING
…. PUBLIC TOILET
INAJITEGEMEA KWENYE FANCE
UMEME UPO NA MAJI YAPO +. TANK
350,000/= MUDA WA MALIPO MIEZI 3. TUUU❤️ USHINDWE WEWE TU
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA TOFAUTI NA KODI YA NYUMBA UTALIPA MTEJA
GAHRAMA ZA KWENDA SITE 10,000/=
HI NYUMBA KAMA UNAFAMILIA NI NZURI NA INA MAZINGIRA SAFI KABISA
0620732866 CALLS AND WHATSAPP