House for rent at Olasiti, Arusha
HOUSE FOR RENT ARUSHA
FAMILY HOUSE
โข 4 Bedrooms zenye makabati: 2 ni master
Sitting room
dining room
Big Kitchen yenye makabati
Store
Heater system
Public toilet
Maji ya Auwsa 24hrs
Umeme luku na Solar
Car parking space
Ina pavement na Fence
Location bomba sana : Olasiti opposite Mau petrol station
Mita 100 kutoka barabara ya lami. Barabara mpya ya East Africa
Bei: Laki 500,000/= kwa mwezi.
Malipo miezi 6
Service charge kuona 10k
0789181514
0745181525