House for rent at Pugu, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA
INA CHUMBA NA SEBULE CHOO CHA NNJE CHAKWAKO MWENYEWE, NA JIKO WANASHEA WAWILI. WAPANGAJI WAKO WANNE TU KWENYE NYUMBA.
IKO NDANI YA FENSI, KILA MTU ANA SUBMETER YAKE.
LOCATION: PUGU KONA
KODI: 80000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI 6.
CONTACT: 0788156493 0614130017