House for Rent at Sinza, Dar Es Salaam


.
SINZA MAPAMBANO
Nyumba inapangishwa SINZA DAR ES SALAAM
Ina chumba chenye choo ndani
Kodi 200,000/= Tzs kwa mwezi muda wa malipo jipangie wewe, ila usishuke miezi mitatu
NB: SIO KUBWA SANA, USIJE NA VITU VINGI UKIDHANI UTAPATA NAFASI YA KUCHEZEA POOLTABLE 🤣🤣🤣
Kwa nyumba kali na nzuri za kupanga wasiliana nasi SWAHILI_REAL_ESTATE
Ama tembelea ofs zetu zilizopo Mwenge Lufungira nyuma ya jengo la Tanzanite tower
NB: VIGEZO NA UTARATIBU KUZINGATIWA
Service charge 20,000/= Tzs
Agency fee ni sawa na hela ya mwezi mmoja ya kodi ya nyumba husika
Piga/whatsapp: 0769138053
Follow
swahili_used_items
#2024HudumaMpakaNyumbaniKwako