House for rent at Sinza, Dar Es Salaam


Upande unapangishwa
Location:- Sinza Madukani
Bei:- 400K kwa mwezi
Malipo ya miezi 6
Sifa zake:-
1.Ina vyumba vitatu vya kulala
2.Chumba kimoja ni master
Kwa maelezo zaidi piga simu
Angalizo gharama za kupelekwa kuona Nyumba ni 20K
Malipo ya dalali ni Kodi ya mwezi mmoja pindi ulipiapo Nyumba