House for rent at Sinza, Dar Es Salaam
Apartment for rent
Loc:sinza
Price:700,000 per month
Terms:six months
Note:
30,000 pesa ya ofisi inalipwa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja 👈
Classification:
Vyumba 3 vya kulala kimoja master sebule jiko tiles gypsum board madirisha ya kioo maji unajitegemea umeme unajitegemea air conditioner akuna fensi
Fanya kazi na Dalali wenye ofisi uepuke kutapeliwa fika ofisini sinza madukani tukudumie
Call:0718123756👈
Call:0688037829👈