House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KUPANGA - TABATA KISUKULU/MAJI CHUMVI 300,000 KWA MWEZI KODI MIEZI 6
###################
APARTMENT INA VYUMBA VITATU VYA KULALA,SEBULE KUBWA,JIKO,CHOO CHA FAMILIA NA CHUMBA KIMOJA NI MASTER FENI KOTE
###################
APARTMENT NZR YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO 3 NDANI YA FENCE MOJA NDIO IPO WAZI
###################
LOCATION UBUNGO EXTERNAL MAJI CHUMVI KM 1.5
###################
APARTMENT IPO NDANI YA FENSI YENYE PERVING BROCK NA PARKING IPO YA GARI
###################
INAJITEGEMEA LUKU & MAJI DAWASCO NA YANAFLOW NDANI
###################
FULL TILLES, GYPSUM & ALLUMINIUM SLIDE WINDOW
###################
USAFIRI BAJAJI 500
#################
#300000\/=MALIPO YA MWEZI MMOJA LIPIAPO NYUMBA
###################
#SERVICE_CHARGER_15000/= KUONA NYUMBA NA KUTAFUTIWA HADI KUPATA BILA KUCHAJIWA TENA
###################
DALALI AMBWENE UBUNGO
0769-680-796
0712-348-316 whtsp
###################