House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
Chumba master, sebule na jiko inapangishwa sh 250000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6, fence, parking, umeme na maji unajitegemea, reserve water tank
Location tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam, kutembea kwa mguu dakika 4-6
Mteja tembea na pesa nyumba aikai
Muhitaji piga sim
Calls/Whatsapp 0768682919
0653233641
Tembelea kulasa zangu za istagram, Facebook & tik tok, napatikana tabata kinyerezi mbuyuni dar es salaam Tanzania