House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: TABATA AROMA BARABARANI
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika Moja Kutoka Main Road na Barabara ni Lami Mpaka Getini.
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule
• Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Ndani
• CCTV CAMERA
• Electrical Fance
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 600,000 Malipo Miezi 6 kwa zenye Full AC
Ambazo Hazina AC Kodi ni 500,000/-
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja