House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Chama.
- Master
- Sebule
- Jiko
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Fence
Kodi 300,000/= MIEZI SITA.
Service charge 20,000/=
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890.