House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA/APARTMENT
Nyumba ipo maeneo ya Tabata kinyerezi MWISHO
Vyumba viwili vya kulala
Masta
Public toilet
Sebule kubwa
Jiko
Tiles and gypsum
Slide windows
🔌LUKU yako
🚿MAJI Dawasco
Reserve watertank
Fenced
Paving blocks
Parking kubwa
Mazingira Mazuri na Salama
Dk 2 kutoka stendi
BEI 350,000/=×6
#mwezi_1_wa_dalali_teacher
SERVICE CHARGE 10,000
☎️ & What's App 0657267767
KARIBUNI SANA KWA HUDUMA BORA SALAMA NA UHAKIKA