House for rent at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA ZIPO TATU KWENYE FENSI
#LOCATION #TABATA_KISUKULU_NJIA_YA_MIGOMBANI_AU_UNAWEZA_KUPITIA_UBUNGO_MAKOKA_KWA_MKUA
#######################
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
#CHOO CHA PUBLIC Tsh. 300,000
#######################
#Nyumba ipo Tabata Kisukuru Maji chumvi njia ya migombani au makoka kwa mkua njia ya migombani
#######################
Ni nyumba ya Kisasa ina Sebule Dining na Vyumba Viwili vya kulala kimoja Master Bedroom pia ina Jiko na Public Toilet
#######################
Full Tilles, Gypsum & Aluminiuam window.
#######################
Inajitegemea LUKU na Maji yapo Dawasco yanaflow Vyooni na Jikoni.
#######################
#Kodi 300,000\/= Kwa mwezi malipo miezi 6 na malipo ya mwezi mmoja wa dalali
#######################
#Service_Charge_15,000\/= ya kuonyeshwa na kutafutiwa Nyumba mpaka upate bila kuchajiwa tena
#######################
#0785889413
#0785889413