House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENCE KODI 300,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU JUU KM1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER
#SITING ROOM KUBWA
#DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347