House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA UBUNGO MAKOKA KM2 KUTOKA KIMARA KOROGWE
--------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko
Tiles
Gypsum
Slide window
Paving block zina wekwa
Parking space kubwa sana
Fence ya ukuta ina jengwa kwa sasa kuna fence ya waya
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=×6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
------------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏