House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
LOCATION: #UBUNGO_MAKOKA KUTOKEA KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE KOTE UNAFIKA NYUMBAN
UNA USAFIRI UPO BAJAJI 500
KODI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO NJE YA DAWASA
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
#0769680796whtsp
#0712348316WhatsAp